Diamond Platinumz a.k.a simba C.E.O wa Wasafi anatukaribisha kusikiliza nyimbo yake mpya ACHA NIKAE KIMYA (audio)
News; DiamondPlatinumz kutokana na nyimbo hii imemletea ugomvi kwani yeye hakuzoeleka kuimba siasa .,Unajua ni nini Simba kaimba basi kazi imebaki kwako kupakua nakusikiliza mtu wangu ,download hapo chini
Fanya pia kugusa neno follow liko mwanzoni kabisa alafu mamba kama haya yatakua hayakupiti tena bure ,ukishanifollow kazi inakuwa kwangu sasa kukusogezea ngoma zote zinazo bamba na zinaenda na trend ya sasa ..kwaleo naishia hapa asanteh
0 Comments