Bright baada 'Nitunzie' kufanya vizuri sasa anawakalibisha mashabiki zake nawapenzi wamuziki muzuri kuitazama video yake mpya ..inayo kwwenda kwajina La 'umebadilika' akimshirikisha mwanadada mwenyesauti yakumtoa nyoka pangoni 'Nandy' enjoy mtuwangu wanguvu pia pakua hii video hapo chini pia usisahu kunifollow kupitia email yako alafu tutakuwa tunaenda sawa
0 Comments