(Ukiavaaje Unapendeza photo cover watch this new video below)
Haya sasa watanzania Rapa Dogojanja anatukalibisha kuitazama video yake mpya na habari ya town ( UKIVAAJE UNAPENDEZA) ,Audio imefanywa Na Daxi Chali toka MjRecord na kichupa kimedirectiwa na Hanscana ebna hatarii sana sasa fanya hivi download hapo chini pia tazama full video mi nazani kazi kwangu imeisha imebaki kwako tu basi Fanya yako.Pia usisahau kutufollow utakuwa umetisha kinoma noma mtuwangu.
0 Comments