Mkali wa hizi kazi anatuletea hii kazi yake mpya akiwa amemshirikisha mwanadada Maua Sama Wanakwambia "LOVE ME" Audio imefanywa na Bear kutoka KIRI RECORDS. Support muziki wetu audio nunua kwa kugusa hapa itakupeleka moja kwa moja wasafi.com
Video directed by Khaliphan ,Location ilipo fanyikia ni Dar es salaam Tanzania
Habari nzuri kuhusu stamina na mashabiki wake saivi yuko chini ya usimamizi wa Maneke
Download hapo chini video ya "Love me"
0 Comments