WATCH NEW VIDEO ; BONTA FT BARAKAH THE PRINCE - ZERO


Bonta anatukaribisha kuitazama video yake mpya inayoitwa (zero) .Bonta nikati ya wasani wanao tumia sanaa kuelimisha ilikupata matokeo chanya , Nakwenye hii video kafanya yake ...Pia ikumbukwe kuwa nimoja Kati ya Wasanii Wanaotoka Kwenye kundi la Muziki linalo fahamika kwa jina La Weusi ,Burudika 

Post a Comment

0 Comments