GEITA: Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Nyakabale wametelekeza mwili wa marehemu nyumbani kwa Mwenyekiti wa mtaa, Elias Ndarawa
Mwenyekiti Ndarawa anatuhumiwa kutoshughulikia tukio la marehemu Zacharia Shaban kupigwa na Polisi Jamii hadi kufa
Leo Machi 12, Majaliwa Shaban, ndugu wa marehemu amesema kwamba nduguye alipigwa Machi 5,2018 akiwa eneo la Mgodi wa Dhahabu Geita(GGM) akiokota mabaki ya mawe ya dhahabu maarufu magwangala
Amesema Zacharia alipelekwa Polisi alikokaa kwa siku 6 na aliporudi uraiani hali yake ilikuwa mbaya, alipelekwa hospitali alikofariki dunia Jumamosi Machi 10,2018 na hadi sasa hakuna kiongozi aliyefika kwenye msiba huo wala kutoa kauli yoyote
Mkazi wa mtaa huo, Johnson John amesema hawapo tayari kuzika hadi Serikali itakapotoa kauli kuhusu hatima ya maisha yao kwa kuwa Polisi Jamii wamekuwa wakiwapiga na kuwajeruh

0 Comments