Tazama nyimbo mpya ya aslay #Nibebe audio ikiwa imefanya vizuri sana kwa kufikisha viwers 309k, Video hii imeongozwa na directa mkubwa na anae kuja kwa kasi Joowzey na audio ikiwa imefanyika kwa producer Shirko ndani ya studio za Vibe Records Tz
Nyimbo hii ikwa imebaba ujumbe kwa wale wanao pendana na kuonesha kuwa kwenye mapenzi kuna wakati wafuraha na uzuni hivyo nikukubaliana na yote ilikushinda pendo lenu basi Aslay anakwambia nibebe kwa kumaanisha hivyo
mp4 Download 10.85 Mb
0 Comments