NEW VIDEO | NIJUE - WEUSI X CHRISTIAN BELLA



Weusi wametuletea vision mpya ya wimbo wao "Nijue" ambao ulivuja kipindi cha nyuma Wakiwa wamemshikrikisha Christian bella, Video imeongozwa na Hanscana na audio imetengenezwa na Nahreel toka studio za The industry


Tazama video yao mpya hapa, pia unaweza ipakua video hii hapo chini,
Kwa waleo wote wanaotaka matangazo ya nyimbo zao au biashara tukutane kwenye email hii melodytz255@gmail.com na whatsapp kwa namba hizi 0743901268  natoa ofa karibuni



Post a Comment

0 Comments