WATCH & DOWNLOAD NEW VIDEO | MAUA SAMA - NAKUELEWA

Maua sama anakukaribisha kuitazma video yake mpya #Nakuelewa baada ya audio kufanya vizuri kwenye website mbalimbali ikiwema yakwetu pia, 


Nakuelewa nimoja ya video ya kizazii sana,Kwanza inamaazi yakinyumbani, imeongozwa na hanscana 
Nyimbo inahusu mwanamke ambae anatokrea kumuelewa kijana wakiume nakushindwa kujizuia hisia zake  nakuamua kumwambia anamuelewa..

mp4 Download 13.3 Mb



Post a Comment

0 Comments