Katika sherehe hiyo mastar mbalimbali wa muziki na filamu Tanzania kama vile Vanessa mdee,billnas, aslay na wengine wengi walihudhuria maulidi hiyo pamoja na viongozi wa serikali katika sekta mbalimbali kama Mheshimiwa Kigwangala
Alikiba alifurahisha na kustajabisha watu kwa kuzindua rasmi kinywaji chake kinacho kwenda kwajina la #MOFAYA
Jina la kampuni hii na kampuni kwa ujumla inatoka South Afrika na nikinywaji kinachosifika sanaa na moja ya sifa kumilikiwa na watu weusi tuu
Muziki wa Alikiba Umeweza kukutana na hii na kuleta heshima nyumbani nikitu cha kumpongeza Alikiba
Kama tunavo jua Kampuni ili isimame huwezi kuwa peke yako tuu na kufanya kitu kikasimama, Mofaya ikishirikiana na Mfalme wa bongo fleva wanakuletea Alikiba #MOFAYA
0 Comments