BURUDANI | RAPPER A.K.A ATANGAZA KUACHIA ALBUM YAKE YA MWISHO ''TOUCH MY BLOOD '' NA KUACHA BIASHARA YA MUZIKI



Rapper wa Afrika Kusini, A.K.A @akaworldwide amedondosha Covers 10 kama sample kwa ajili ya album yake ijayo 'Touch My Blood' ambayo ataiachia baadae Mwezi Mei mwaka huu.

Kwa mujibu wa The 'Sweet Fire' Rapper A.K.A, album hii itakuwa ya MWISHO katika historia ya muziki wake, na ataendelea na business zingine Outside music. Akizungumza kwenye mitandao yake ya kijamii March 5, 2018, A.K.A alifunguka: "REAL TALK tho. It's by far my best album. Might even be my last one." - @akaworldwide

Kukazia hilo, Meneja wake, Tshiamo Letswene alipiga stori na mtandao wa Afrika Kusini, TsishaLIVE na kukazia kauli hiyo ya A.K.A. : "Yup. This is it. This is his last album. He wants to do other things with his life beyond music. He is a father and a businessman. He has a company to run and he will be focusing on that and other projects. He will always be AKA and will dip in and out of music," alisema Letswene.

Hii itakuwa album ya 4 kwa A.K.A,

Post a Comment

0 Comments