MBOSSO - PICHA YAKE | OFFICIAL LYRICS



Intro;
enh enh lalala aanh

Naishi naisha hata sura inakosa nuru
Napukutika mnyonge muoga mii kunguru
Namrizisha na wamwisho kwenye msururu
penzi lakujifisha mbele za watu haliko huru

Sili nikashiba mwanga ndani njee giza
Kanipa ratiba zamuyangu kila jumapili
moyoni mwibaa nahema kwashida
penzi msiba linaniliza mimi eenh

chorus:

Siku nikifa nizikwe napicha yake yeye
(ye lelele lileeleee)
Naimani nitakutana na yeye
(anhaaaan anhaaan)
Siku nikifa nizikwe napicha yake yeye
(yee iyeye iyeyeee)
Naimani huko tutuakuwa wenyewe
(laaa lalalaa )
Laaa lalalaaa
uho uhoo
lalalaaa lalaaa
uhuu uhuu
Laaa lalalaaa
iye iye iyee

bridge :

Silalii baridii usiku natetemeka
nambaya zaiidi kutwa natetemeka
silalii baridii usiku natetemeka
minajitahidi ilabado nasononeka

ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri
sio mimi wala wewee nimungu mwenyewe
akaumba jua nambingu namapenzi kama kivuli
tujifiche minawe sambona unaniacha mwenyewe

wahenga walisha sema
ukipewa kilema unapewa na mwendo
ila kwangu sinema yani sisimizi kumuuwa tembo
oho chanda chema limebaki neno hakuna matendo
nilipo lenga nimetema moyo umekosa malengo mama (anh anhaaaan)

chorus:

Siku nikifa nizikwe napicha yake yeye
(ye lelele lileeleee)
Naimani nitakutana na yeye
(anhaaaan anhaaan)
Siku nikifa nizikwe napicha yake yeye
(yee iyeye iyeyeee)
Naimani huko tutuakuwa wenyewe
(laaa lalalaa )
Laaa lalalaaa
uho uhoo
lalalaaa lalaaa
uhuu uhuu
Laaa lalalaaa
iye iye iyee

bridge :

Silalii baridii usiku natetemeka
nambaya zaiidi kutwa natetemeka
silalii baridii usiku natetemeka
minajitahidi ilabado nasononeka















Post a Comment

0 Comments