Jaazi laokolewa dakika ya 90+7 kwa penati,bao lilo sawazishwa na Ronaldo kwa kuifanya real madrid iweze kuingia nusu fainali
Juventus ya icharaza kipigo cha mbwa mwizi Real madrid kwa magoli matatu mazito yalio sawazishwa na wachezaji nyota watatu
Bao lakwanza limepatikana katika dakika yakwanza likiwa lime sawazishwa na Mario mandkuzic ikiwa nidakika ya 2 kipindi cha kwanza
Na Blaise Matuid katika dakika ya 60 kipindi cha pili katupia goli la pili ikiwa niupande mgumu sana kwa real madrid kufurukuta kwa kipigo hicho ,Gianiluigi ndani ya dakika 90+3 akatupia goli la tatu
Kwa maamuzi ya refa na faulo iliyo tokea ndio ikawapa nafasi ya kuibuka tena kwenye kinyanganyiro cha nusu fainali
Tufuatilie pia Facebook,Twitter, na Instagram @melodytzblog
0 Comments