SHILAWADU | NANI KUPELEKWA MIREMBE IRENEPAUL AU RAMMYGILS ???

TAZAMA MAHOJIANO YA IRENEPAUL AKIOJIWA NA QWISA (MZEEMKVUU) 





Irenepaul bongomovie star atokwa na pombu zito baada ya bif lao zito kati ya Rammygils, siku zilizo pita rammy alimtolea povu irene kuseme ana mental illness /ugonjwa wa akili pia kusema watu wana mjua kuwa anahuo ugonjwa toka kitambo

Hayo yote yametoke baada ya kifo cha dada yetu ages masogange, jioni tuu ya hiyo siku wakiwa katika kuuaga mwili wa marehemu rommy alizimia akiwa kashikilia vitu vyake kitendo kilicho mfanya irene kupost ujumbe huo kwenye ac yake ya Ig na ndipo mgogoro ulipo anzia



huku na huku huku na huku wazee wa ubuyu wazee wa mambo ni motooo wakanyapia nakumfuata kila mmoja  wao nakutaka kuona inakuaje kuaje hapo angalia ubuyu huo live hapa 


Post a Comment

0 Comments