VideoMya : KWANGWARU - Harmonize Ft Diamond Platnumz



WCB wamekiwasha tena kwenye KWANGWARU video na nyimbo  ilio wakutanisha Harmonize na Diamond Platnumz kufanya kitu kikubwa tena kwa mara nyingine

Audio ya nyimbo hii imefanya vizuri sana kwenye chart mbalimbali za mziki ikwemo blog hii kwa kupata downloads nyingi,

Video ya kwangwaru imeongozwa na Kenny na audio imetengenezwa na Lyzer toka Wasafi Records


Post a Comment

0 Comments