SHOW YA MBOSSO PART 1
Mtazame Mbosso alivo kinukisha ndani ya Life club (maisha basement) na kuperform nyimbo yake mpya #Carolina bonge moja la nyimbo
Tufahamu kwa ufupi tuu hii ndo show ya kwanza toka aingie wcb na imeingiza zaidi ya watu 3000 kaztika ukumbi huo wa Life club
MBOSSO PART 2
kwa wewe mpenda burudani usiache kutembelea blog hii watu wangu wa kenya #254 nawakubali sana pia usisahau kutufollow kupitia mitandao yetu ya kijamii tunapatikana kwa jina moja tuu @melodytzblog asante ! enjoy
0 Comments