ONA - LULU DIVA FT RICH MAVOKO | Official lyrics



Verse one {Lulu diva}:

Moyo sii ungebaki nao, nifanye kivuli/
luksa tuu nichote nyao,unifunge nitulie tuli/

mwafulani anauliza umenipa nini/
kwa udi na ubani nimekulia yamini/

wanao nitamani wapo ila sijaona/
nimekupenda pekeyako maana mapenzi nimekoma/

kama kipofu mii sioni
uchungu wamapenzi unakaba koo/

usitukane mamba mtoni
umenipa yote minaomba poo/

Chorus:

ONA SASA ONA !!{x8}

Verse two {Rich mavoko}:

I swear believe me girl
umenikata kichwa nimebaki kiwiliwili /
niongee ulicho nipa
kita kwa mshipa utibuwe makili kili/

mpaka juu huwa na ning'inia/
ukirudi chini na didimia/
usinipe penzi  makili kia/
mikwako nimesha oza nishajifia/

nimekuwa mrevi wa penzi lako ongeza nilewe/
mwambie mganga wako kaniweza kwahe/

sioni maneno yawatu kwangu kama choo/
mtoto kama chumvi jikoni/
 nilipo kuonja nikaomba pooo

Chorus:

ONA SASA ONA !!{x8}

Hook up { Lulu diva}:

asa babe simamia [kidede]
tena ngangania[kidede]
nipe vyito nabugia[kidede]
huku naugulia[kidede]

Hook up {Rich mavoko};

nipe hata kimoja [kidede]
nisamimie ukucha [kidede]
mtamu kama embe za kibada [kidede]
mbuzi kafa kwa bucha[kidede]


Post a Comment

0 Comments