RAYVANNY FT S2KIZZY - POCHI NENE


Watch the brand new hit ''Pochi nene'' by Rayvanny featuring S2kizzy



New Video From Rayvanny Ft S2kizzy Named as Pochi Nene, This Video was Shot by Director Kenny Under Zoom production Dar es salaam Tanzania.

as we know WCB Huwa wanapeana nafasi kutoa kazi zao, its time for v vanny boy mtoto wa mbeya kuporomosha mawe yake baada ya mbosso,harmonize and the big chawaa boss mwenyewe simba Diamond Platnumz.

Katika video hii S2kizzy ambae ni producer wa Swicter Record iliyo chini ya Quick Racka kanyoosha maelezo kwenye kiitikio hichi cha kizazii sanaa na Rayvanny kuteleza michano.

Mahudhuhi ya nyimbo yana maanisha mtu mwenye pesa na kuonsesha kujigamba kwa pesa alizo nazo moja ja mistari /lyrics zinazo pembwa zaidi nii pale Vanny anapo chana lugha zaiidi ya moja.
.
Tazama chupa hilo hapo juu lilio ongozwa na Kenny toka WCB chini ya Zoom Production enjoy.





Post a Comment

0 Comments