Fahamu kuwa Card b hapo awali alikuwa na BEEF kubwa tuu na mwanadada Azealia Banks ambaye ni rapper,singer na song writer, Chanzo cha mugogoro wao ni interview alio ifanya Azealie Banks ndani ya ''The breakfast club radio show'' Azealie kutokwa na povu zito juu ya Card B akisema
''a caricature of a black woman'' yani kinyago cha mwanamke mweusi kitendo hicho kilimfanya card b kujibu mashambulizi hayo kupitia instagram yake kupost hiyo interview na kumtukana azealie
Azealie hakukaa kimya akatoa povu lake twitter na kusema kwanza najichubua na rafudhi yake wala haiko sawa labda angekuwa nick minaj tunge penda kuiona hiyo rafudhi lakini sio Card
Baada ya matusi kuwa mengi card b ameamua kufutilia mbali instagram yake na kusema anataka awe bize kulea ujauzito wake kuanda kazi mpya na kazalika kuliko kufanya upuuzi wa kijinga instagram na twitter yake ameiweka privacy
0 Comments