VIDEO | DADA - BELL9

TAZAMA VIDEO MPYA BELL9






Baada ya kimya kwa muda mrefu Msani wa miondoko ya rnb na afro pop Bell 9 aamua kuja nakitu kipya kwa mara nyingine tena  anakukaribisha wewe mpenda burudani kuitazma hii Nyimbo inakwenda kwa jina la ''DADA''

Nibonge moja la hit song kutoka kwake bell tisa i wish you will enjoy too this amaizing work of art sina lazida endelea kuwa nasii kwa updates nyingi nyinge na asante sana kwa kuwa nasii shut out 254 KENYA , Zambia, Uganda, my people from Ghana,Nigeria i see yah thank for ya support lets keep good music alive !!enjoy


Post a Comment

0 Comments