VIDEO | DAVIDO - ASSURANCE #MPYA

Watch and download new video ''Assurance'' by Davido from Nigeria




Davido kaitengeneza hii nyimbo kama zawadi kwa mpenzi wake pia siku anayo iachia hii audio tarehe 30 April jana ilikuwa ni sherehe ya mfano wa siku ya kuzaliwa mpenzi wake huyo anae kwenda kwajina la  @thechefchi pia ndie alie husika kama video vixen kwenye hii video


Alimzawadia gari kama zawadi kwa mpenzi wake anae onekana kwenye picha hapo juu nakuandika caption hii ''I give my baby ASSURANCE!!! I love you baby!! WE IN THIS 4 LIFE!! ❤️❤️❤️❤️😍😍😍 @thechefchi !! HAPPY BIRTHDAY CHIOM CHIOM !! FROM ME TO YOU!! I BOUGHT MY BABY A PORSCHE!! 🔥🔥🔥 '' nakupost video wakiwa wanasheherekea furaha ya kuzaliwa kwa mpenzi wake na mapenzi moto moto 

Usisaha kutufollow instagram kwakupata updates kila inayto ingia humu kuweza kuwa wakwanza kukufikia asante!!!! enjoy 

DOWNLOAD MP4


Post a Comment

0 Comments