NEW VIDEO | DOGO JANJA | BANANA



Nivideo mpya ya Janjaro toka 255 anakwambia Banana, Nyimbo flani ya kizazi sana kwani ujumbe ulio bebwa nikumsifia yule umpendae ennh hivyo yani simplee hatutumiagi nguvu alafu ile tabu wanapata wao kweli kwelii

mi wananiita 255melody unaweza kunipata kupitia mitandao yakijamii kote unachofanya nihivi unasearch @Melodytz_ then unakuwa umenipata

Shukrani sana kwa wanangu wa 254 mnatishaga kinouma noma bila kuwa sahau wanangu wa 255 ayee hainaga kuchafuka kirosafiii enjoy


Post a Comment

0 Comments