ASLAY - KWATU | Official lyrics



Intro:

mwaa mwaa mwaaa 

Verse 1:

minawewe nganga ucije enda kwa mganga 
dj ebu piga chalanga tucheze 
wanauliza maswali tuwajibu kwa vitendo
wambie wambie mikwako nisha tia nanga 
fumba macho ucije danga ukaniumiza roho
nikila korosho kula karanga uzime oh 
usiniache nita tanga tanga yatima oh
unioneshe aliyo kufunza nyakanga kitandani njoo

Bridge : 

niweona wengi sana wazurisana ilakwako nime kwama 
sijateleza kukuchagua 
nichochee nichochee kama moto unichochee 

Chorus:

Kwatu roho yangu kwatu kuwa nawewe 
kwatu kwatu kwatu roho yangu kwatu
roho yangu kwatu 
kwatu kwatu kwatu roho yangu 

Verse 2:

ukiwa mbali mwili wote unapooza 
nahisi kama nimekufa natayali nishaoza 
chai sukari mpenzi embu koleza 
usije ukakurupuka ukaniacha kwajeneza 
familia yangu iko police inakutafuta wewe
nasikia unabonge lakesi lakuniteka mie
oh lololoo lakuniteka mie yeyeeeye ahh aaanh
wambie wambie mikwako nimeshatia nanga

Bridge : 

niweona wengi sana wazurisana ilakwako nime kwama 
sijateleza kukuchagua 
nichochee nichochee kama moto unichochee 

Chorus:

Kwatu roho yangu kwatu kuwa nawewe 
kwatu kwatu kwatu roho yangu kwatu
roho yangu kwatu 
kwatu kwatu kwatu roho yangu 

Post a Comment

0 Comments