MBOSSO - HODARI | Official lyrics



Verse 1:

shombe shombe mtoto laini laini
anawaka waka anh anhaaaa
wanga wape vidonge nimebaini baini
wanatapa tapa anh anhaaaa
mmmh minawe mpaka kiama tuomnbe uzima
waroge kwa kuchutama nawasimame wima
kamwe hawato pata mwanya habiti fitina
wapike mabiringanya sii tutoke dina

Bridge:

nalegeaaa ukintazama yako macho yako macho {anh }
nalegeaaa ikigusana yangu na yako yangu na  yako

Chorus :

katoto hodari 
hodari wamapenzi
jamani hodari
hodari wamapenzi
michezo yachumbani hodari
hodari wamapenzi
utundu kitandani hodari
hodari wamapenzi

Verse 2:

Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
nisakata makili kili kuniwasha ka pili pili
fundi haswa amekithiri kunipa nilewe
kwasa kwasa ndani bingili zakukata saga kachili
nani haswa  unafikiri kama sii wewe
nichezeshe kidaru sosi kwa manane {vangaa}
nikande kipandauso tufunikane {kanga }
nipitishe boda lauko tukakutane {tanga }
sie pini wao puso watapasuka

Bridge:

nalegeaaa ukintazama yako macho yako macho {anh }
nalegeaaa ikigusana yangu na yako yangu na  yako

Chorus :

katoto hodari 
hodari wamapenzi
jamani hodari
hodari wamapenzi
michezo yachumbani hodari
hodari wamapenzi
utundu kitandani hodari
hodari wamapenzi




Post a Comment

0 Comments