NEW MOVIE | The Crime of Grindelwald

FANTASTIC BEATS : THE CRIMES OF GRINDELWALD




Kwa manao penda updates za movies mpya basi furaha kwenu... hiyapa nyinge  tena nimekusogezea wewe mtu wangu. Movie kali kuliko inakwenda kwa jina la The Crime of Grindelwald

Warner Bros picture wanakuletea hii yapa ikiwa imetayarishwa na Heyday films nifilamu ya kichawi yenye kusisimua kwa aina yake kama ilivo ada ya mtu mzima David Yates ambae ni director /  muongozaji wa hili balaa lakufungia  .mwaka hajawai kosea pia kama ulikuwa ufahamu hawa jama ndio walio kusogezeaga filamu za Harry potter  na nyingine nyingi za kichawi na kusisimua

Movie hii ita achiwa 16 November, Tazama official trailer hapo juu na enjoy.. Usiache kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijami tuna patikana kwajina moja tuu @melodytzblog, Pia acha comment yako hapo chini kwa maoni na chochote kile ungependa kutuambia asante



Post a Comment

0 Comments