Picha, JAY-Z Atoa video tatu kutoka kwenye 4:44, Stori ya Mama yake na Usagaji Ipo

JAY-Z Kupitia mtandao wake wa TIDAL ametoa video mpya tatu kutoka kwenye album ya 4:44,  Video ya wimbo wa Legacy, Smile na Marcy Me kutoka kwenye album yake ya 13.
Legacy filamu fupi ya dakika 10 yenye mastaa Susan Sarandon, Jesse Williams,na  Ron Perlman, stori ya video inaongelea kundi dogo la wafungwa wenye mpango wa kutoroka jela nakufanya ‘The Carter Escape’.
JAY Z ametuonyesha tena stori fupi wakati analelewa na mama yake kwenye mitaa ya Brooklyn huku Mama yake ‘ Gloria Carter’ akiwa na mahusiano na mwanamke mwenzake, ni katika video ya Smile,
Kwenye mashairi ya Smile ilikuwa mara ya kwanza JAY-Z  kuweka wazi kuwa mama yake anashiriki mapenzi ya jinsia moja.












Post a Comment

0 Comments