HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ - KWA NGWARU | OFFICIAL LYRICS



Intro :
Mmmmhh

Verse 1 {Harmonize}

I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanga manoti
nikuonge vya thamanii
ama niwefundi wakuigiza kakanumba
Masanja joti,Usiende mbali namii
mmh my darling i need yah love
we namii hakiyamungu nakupenda
nobody can show yah love
usiwaamini ukusha wapa wanakwenda

oho bac jiregexe nikubebe mgongoni
ielewii
deka nikudekeze nikutunze kama mboni
ielewe
wakija wapoteze jifanye kama uwaoni
iyelewii
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyagagoni
iyelewii

Chorus:
ooh baby asa dance nikuone
Kwa ngwaru
wa bambijoo
kwa ngwaru
ululuvenii
kwa ngwaru

ooh baby asa cheza nikuone
kwa ngwaru
wa bambijo
basi cheza namimi
kwa ngwaru

Verse2 (Diamond platnumz)
Moyo wangu wa mwarubaini
mchungu ukiudhiwaa
Nisamehe marasabini
huo uzungu sijajaliwa
ningependa chunga majinii
kwenye uvungu pale miwaa
nikumbatie baridini kwenye tundu
kama njiwa
moyo wangu niwamakuti usinijie nakiberiti
asaaawee
penzi likageuka chuki nyumba ikawa kibitii
asaweee
nipatie vyakitandani nipe mpaka kwenye kiti
asaweee
ili asiniingie shetani  nikaja kukuchitii

oho baci jiregeze nikubebe mgongoni
iyelewii
kitandani nikoleze kwamiuno ya kingoni
iyelewii
kisha nibebeleze nirudishe utotoni
iyelewii
weka mate niteleze kama nyoka pangoni

Chorus:
ooh baby asa dance nikuone
Kwa ngwaru
wa bambijoo
kwa ngwaru
ululuvenii
kwa ngwaru

ooh baby asa cheza nikuone
kwa ngwaru
wa bambijo
basi cheza namimi
kwa ngwaru


aghaa
nataka kucheza churu naangali umesimama
ahhh inama inama
asa waoneshe unacgezaje
unataka maji yakisima na unaogopa kuchutuma
ahhh inama inama
embu waoneshe unachotaje
ahhh inama inama

unataka kupiga deki wima umesimama
ahhh inama inama
tuoneshe unapigaje
ahhh inama inama
siunataka vyapulltable asa mbona unajibana
ahhh inama inama
ubu tuoneshe unarengaje

***
oyaa wanangu wakigogo
ahhh inama 
nipeza mose iyoboo
ahhh inama
vunja vunja kidogo
ahhh inama
anh niongeze mikogo
ahhh inama inama












Post a Comment

0 Comments