Tarajia balaa la ngoma kali kutoka kwa Lil Wayne kabla ya december 2017


Mc Kutoka New Orleans, Lil Wayne ametoa updates kuhusu ujio wa muziki mpya kutoka kwake nakusema Mixtape yake mpya ya Dedication 6 inatoka hivi karibuni
Meneja wa Lil Wayne, Cortez Bryant alisema siku chache zilizopita kuwa D6 inatoka November na sio December, ni mbali sana.
Kutokana na matatizo na lebo yake ya Cash Money, Lil Wayne hajatoa album kwa muda mrefu na amekuwa akitajwa miongoni mwa wasanii wa Rap/HipHop walioshuka sana.

Post a Comment

0 Comments