VERSE ONE
Dunia inazama naiangalia
Sina chakufanya rohoni naumia
Mawazo yangu oho naangamia
ukowapi mungu wangu wee unione nalia
kumbe ulikuwa unanisikia, unaniangalia wewe
Likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaaa
kumbe ulikuwa unanisikiaaa(anhhhhh),
Na Likapotea tumaini langu ila imani ikaingiaa aanh
CHORUS
Mungu waambie
Uliniona nilipokuomba ulisikia na ukaitika
Mungu waambie
ulipo sema uwaja wala ukukosea njia na ulifika
Mungu waambie (Niwewe tuu x2)
Mungu waambie (Niwewe tuu) uliosababisha leo imefika
VERSE TWO
Waambiee,
Kilasiku nizawadi hakuna heshima inayozidi uhai,
Ninehema na rehema wawe na hekima unazitimiza ahadi,
hawapaswi kukataa tamaa, sababu daima hauko mbali,
Ukipotea mwanga gizani ndo nyota unamwanga mkali
wasiache tumaini ndoimani
wasiache kukuamini ndo amani
CHORUS
Mungu waambie
Uliniona nilipokuomba ulisikia na ukaitika
Mungu waambie
ulipo sema uwaja wala ukukosea njia na ulifika
Mungu waambie (Niwewe tuu x2)
Mungu waambie (Niwewe tuu) uliosababisha leo imefika
For music Promotion contact us via Whatsapp & Call : +255743901268, Subscribe our website..drop your comment via facebook and we will replay any kind of question ''Melodytz Be real, Be you''
0 Comments