Naibu Katibu Mkuu BAVICHA, Getrude Ndibalema ajiuzulu na kutangaza kuwa ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida ndani ya chama hicho.
Katika taarifa yake ameeleza kuwa amechukua uamuzi huo ili apate nafasi ya kufanya shughuli nyingine za binafsi
Gertrude ni kiongozi wa pili wa ngazi ya juu wa Baraza la Vijana la Chadema(BAVICHA) kujizulu akitanguliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo, Patrobas Katambi aliyehamia CCM.

0 Comments