VERSE ONE
Wanashanga wale jama ikoje napendwa sana (minawee)
Mikidaga na sina chapa ndivo wanitukana (minawee)
Bridge
Nawakanyaga kama soksi zangu
Nabado napigana na hali yangu
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu babe
Verse
Et mama sii nakufaa na tunafikishana
Inuka kaa Kazime taa minavimba sanaa
Bridge:
Nawakanyaga kama soksi zangu
Nabado napigana na hali yangu
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo wendo msiri wangu babe
Chorus
Awayu wayu wooowo wowo {x8}
Verse 2:
Mtoto Jicho kungumanga,Wala hautoki tanga
Hata nikiwa nanja huwa na waza kukumanga
vitayetu kwenye bed sio yapanga
sii wapinzani yeye simba mii yanga
muda nawane nimwari nawe
Mwanamu warahaa hee
murunji wange kabite wange
mwanamu warahaa hee
Wakija kwako na maneno musururu
Wanakwambia natumia putururu
wote wambea waoga kakunguru
Lakini bahati mbaya mdomo hatulipi ushuru
Bride:
Nawakanyaga kama soksi zangu
Nabado napigana na hali yangu
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu babe
Chorus:
Awayu wayu wooowo wowo {x8}
Bride:
Nawakanyaga kama soksi zangu
Nabado napigana na hali yangu
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu babe
Nawakanyaga kama soksi zangu
Nabado napigana na hali yangu
Amini we ndo damu yangu
Hata nikifa leo we ndo msiri wangu babe
Chorus:
Awayu wayu wooowo wowo {x8} X2
WOWO WOWOWO .......
0 Comments