Leo nimekuandalia Makala fupi kuhusu Bahari inayo Patikana huko nchi za ughaibuni katika bala la Asia,Japani katika bahari ya Pasifiki
Takribani miaka 1000 B.C.E iliyo pita bahari hiyo ilipewa jina la Devil sea baada ya kuonesha miujiza ya waziwazi kwa wakazi walio kuwa wakizunguka pwani ilioko Tokyo Japani.
Moja kati ya miujiza ya bahari hiyo nikutengeneza shoti ilio kaa pembe tatu na kila kitu kinasho pita hapo hupigwa shoti kali na kupotea kisionekane tena, maisha ya watu wengi yamepotea, Kwa mujibu wa watafiti wanasema nisehemu ya maajabu isio weza kuchunguzika mana hakuna mtu wakawaida anae weza kwenda kufanya utafiti
Tukio lingine lilo toke wenda ukawa unalitazama kwenye filamu mbali mbali ni kuweka shimo katikati ya pembe tatu ya shoti ilio tengenezwa kwa radi na ndimo meli na watu hupotelea humo
0 Comments