MBOSSO - ALELE | OFFICIAL LYRICS



Verse 1:
nyama zetu za ulimi, zikikutana asali/
bonyea chini chagama kama tayari/
leo tule nini  miogo yakoko kwa kachumbali/
siunanijuga mimi kitandani huwa hodari/

kama umeniroga [anhhee]/
mganga wako fundi mama/
ameniweza nilicho meza mii sijatema/

chumvi kwa kikogwa /
walimaini ndizi nyamaa /
umenilegeza ukinigusa tuu na tetema/

Bridge:

shuka kifuani babe naomba nipate supu /
yanyama laini kama mapupu/

yale yagizani babe njee tusiyaruhusu /
kwa majirani  wambea wakina rufufu/

Chorus

mmmh aaah aleleleleee/
[mpenzi  wangu kidonda ningongozoe]
aleleleleee
mmmh aaah aleleleleee/
[moyo wangu udongo umongonyoee]
aleleleleee

Verse 2:

asubuhi niamshe kabla yakwenda kazini joging/
kijasho kitoke ukiisi nachoka piga firimbi/
ooh unikamate wee mama nayumba shika nginigii/
wachefukwe matee maembe mabichi wape mbilimbi/

utamu wangu mimi waujua wewe/
penzi tubane napini  iwe sirii yetu wenyewe/
muindi wakusini mwenye mapenzi tele/
kibiti hakuna madini tukawinde tetele/

Bridge:

shuka kifuani babe naomba nipate supu /
yanyama laini kama mapupu/

yale yagizani babe njee tusiyaruhusu /
kwa majirani  wambea wakina rufufu/

Chorus

mmmh aaah aleleleleee/
[mpenzi  wangu kidonda ningongozoe]
aleleleleee
mmmh aaah aleleleleee/
[moyo wangu udongo umongonyoee]
aleleleleee



Kesho twende mbagala kwa mama eeeh/
aeeeh anheee
siombali twende hata badae/
aeeeh anheee
babe tafadhali fanya ujiandae/
aeeeh anheee
Nabaibui kimini usivae /

upajue nyumbani babe /
aeeeh anheee
wakujue nymbani babe/

aeeeh anheee







Post a Comment

0 Comments