INTRO;
eeenhii mmmh yeee!!!
VERSE 1
Ai niwewe ubavu wangu mwenyewe/
Ukifa nizikwe nawewe ukifa uzikwe namie/
OH baby wewe
CHORUS;
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
Boda boda yangu vipi nipande mishikaki/[siwezi]
CHORUS:
basi Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe eeeh
BRIDGE;
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
VERSE 2
Unanipaga furaha ivo/
ukuniacha utanipa jaka laa roho/
Nipe mimi kwengine wewe useme no/
mshinde ibirisi kwenye kichwa chako /
Mi mwenzako mkiwa baba/
mkiwa wa mapenzi baba/
usinione nalia sana nalilia mapenzi /
Mi mwenzako mkiwa baba/
mkiwa wa mapenzi baba/
usinione nalia sana nalilia mapenzi /
Chochote utacho [ sawaa sawaa {baba} ]
nambia mimi nitalizia baba/
ata ukiwa mbali mimi nitasubiria/
C HORUS:
Basi Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
Ninogeshe
ninogeshe baby
baby ninogeshe
BRIDGE;
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
mmh mmmmh
eeeh iyeeyeyeee
Tusiwe jasonna ivanda
kisakosa [kupendana nawewe]
Pressure kupanda kushuka
kisaa nini [kupendana nawewe]
mi mwenzako na kupenda
Na furahi [kupendana nawewe]
Nivike pete ya roho isiyo toka
mmh!!!
BRIDGE;
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
Raha Raha tupu kupendana nawewe
Raha tupu [Raha Raha tupu kupendana nawewe]
0 Comments