Waswahili wanasema ''Nani kama mama ??'' Bila shaka jibu ni hakuna !! Nikukalibishe wewe mpenzi na mfuatiliaji wa movies mpya kuitazama mwanzo mwisho movie mpya ya Bongo movies Star toka Tanzania Aunty Ezekiel ambayo kaizindua siku sinyingi
MAMA ni movie ya kiswahili inayo husu mama wa kitanzania anovo pambana kuhakikisha furaha na tabasama katika sura ya wale wote awapendao.. hususani kile kiumbe alicho kiweka tumboni miezi tisa.
Filamu hii itakusisimua pia kukugusa na kujua zaidi mapenzi ya mama yako vipi !! Mama ni mama daima.
Director alie ongoza filamu hi ni Rajabu Nganyama toka (ROMMY 3D) na producer kasimama dada yetu Aunty Ezekile akishilikiana na Cream Entertainment, n story ikiwa tngwana na Abdulikarimu Mbeki na kuandikwa na Nash de threes #enjoy
0 Comments